Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
Sections
navigate open
See all results →
Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 9: Ubudha

10 min read

by Stephen Gibson


Kukutana kwa Mara ya Kwanza

Yeo alikulia katika familia ya Kibudha huko Ufilipino. Alikumbuka wakati ambapo haikuwa salama kwenda sokoni kwa sababu Waislamu walikuwa wanawaua Wabudha kwa sababu ya dini yao. Wakati mwingine Yeo alikwenda na mama yake katika hekalu la Kibudha ili kuchoma uvumba. Siku moja dada yake alikuwa anaumwa na alikuwa anakufa. Madaktari walikuwepo lakini hawakuweza kusadia. Mama yake na Yeo aliomba sana bila kukoma ili Buddha amsaidie.