Search Course
Search through all lessons and sections in this course
Searching...
No results found
No matches for ""
Try different keywords or check your spelling
Mapitio ya Agano Jipya
Course Description
Kozi hii inafundisha kuhusu maudhui na mafundisho ya msingi ya vitabu 27 vya Agano Jipya.
What You'll Learn
Course Objectives
Malengo yameorodheshwa mwanzoni mwa kila somo.
Introduction
Kabla ya kukutana kwa ajili ya kila kipindi cha darasa, wanafunzi wasome au wasikilize kitabu (vitabu) vya Biblia ambavyo watajifunza. Mwishoni mwa kila kipindi cha darasa, tafadhali wakumbushe wanafunzi kuhusu zoezi la kusoma kwa ajili ya somo linalofuata. Usomaji huu utahakikisha kwamba wanafumzi wanakuwa na uelewa wa yaliyomo ambayo ni ya msingi kwa kitabu (vitabu) kabla ya darasa kuanza.
Mnapojifunza kama darasa, mnaweza kupokezana kusoma makala. Mara kwa mara mnatakiwa kutulia kidogo kwa ajili ya majadiliano. Kama kiongozi wa darasa, unawajibika kwa ajili ya kuhakikisha majadiliano yanalenga makala zinazosomwa. Itasaidia sana kuwa na kipimo cha muda kwa kila kipindi cha majadiliano.
Maswali ya majadiliano na shughuli za ndani ya darasa yameoneshwa kwa alama ►. Unapaswa kuuliza swali na kuwapa wanafunzi muda wa kujadili majibu yao. Jaribu kuwahusisha wanafunzi wote katika majadiliano. Kama itahitajika, unaweza kuwataja wanafunzi kwa majina yao.
Rejea nyingi za Maandiko zimetolewa katika maandishi. Wanafunzi wanapaswa kutumia Biblia zao wakati wa darasa, ili kuangalia vifungu vinavyojadiliwa.
Kila somo litahusisha jaribio na angalau mradi au zoezi la kuandika ambalo linahusiana na kitabu (vitabu) na dhana kuu zinazojadiliwa katika somo.
Mwishoni mwa kila kipindi, unaweza ukapitia tena maswali ya jaribio pamoja na wanafunzi. Kipindi cha darasa kinachofuata kinapaswa kuanza na jaribio. Jaribio linaweza kufanyika kwa mdomo au kwa maandishi. Kila mwanafunzi anapaswa ajibu maswali kwa kujitegemea (peke yake), pasipo msaada kutoka kwa wengine au pasipo kutumia nyenzo zilizoandikwa. Angalau majibu ya majaribio yanapatikana kwa kuyapakua kutoka katika shepherdsglobal.org.
Kila somo litaanza na zoezi fupi la kukariri andiko, ambalo litahusisha mstari mkuu kutoka katika vitabu vinavyosomwa. Wanafunzi wanategemewa kuandika au kunukuu kifungu cha maandiko kutoka katika kumbukumbu yao wakati wa majaribio.
Endapo mwanafunzi anataka kupata cheti kutoka Shepherds Global Classroom, anapaswa ahudhurie vipindi vya darasa na kukamilisha mazoezi yote. Fomu itatolewa mwishoni mwa kozi kwa ajili ya kunakili mazoezi yote yaliyokamilika.
Kama unaipata kozi hii kupitia SGC mobile app, tafadhali weka umakini katika vyanzo vifuatavyo ambavyo vinapatikana katika kiambatanisho:
Ready to Start Learning?
Choose a lesson to begin your journey through this course.
Exploring the New Testament
12 lessons · Kiswahili
Print Course
Request Submitted!
Your print request has been recorded. Your download should begin shortly.
Download Print-Ready FileFree to print for ministry use. No changes to content, no profit sales.
SGC exists to equip rising Christian leaders around the world by providing free, high-quality theological resources. We gladly grant permission for you to print and distribute our courses under these simple guidelines:
- No Changes – Course content must not be altered in any way.
- No Profit Sales – Printed copies may not be sold for profit.
- Free Use for Ministry – Churches, schools, and other training ministries may freely print and distribute copies—even if they charge tuition.
- No Unauthorized Translations – Please contact us before translating any course into another language.
All materials remain the copyrighted property of Shepherds Global Classroom.
Questions? info@shepherdsglobal.org
Order Physical Course
Mapitio ya Agano Jipya
Total
$21.99Added to Cart!
Download Course
By submitting your contact info, you agree to receive occasional email updates about this ministry.
Additional Files
Audio Course Downloads
Mapitio ya Agano Jipya
Download audio files for offline listening
No audio files are available for this course yet.
Check back soon or visit our audio courses page.
Share This Course
Mapitio ya Agano Jipya
Share this free course with others