Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
Sections
navigate open
See all results →
Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 10: Utao

7 min read

by Stephen Gibson


Kukutana kwa Mara ya Kwanza

James alikulia katika familia ya kitao huko Malaysia. Familia yake walikuwa na sanamu na madhabahu kwa ajili ya kuabudu mababu. James aliziogoopa sanamu, lakini alizitolea sadaka akiogopa kwamba zitamuadhibu endapo asingefanya. Alisikia Habari za Yesu, lakini alifikiri kwamba Yesu alikuwa Mungu kwa ajili ya watu wa magharibi tu.