Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
Sections
navigate open
See all results →
Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 8: Uhindu

8 min read

by Stephen Gibson


Kukutana kwa Mara ya Kwanza

Amit alilelewa katika familia ya Uhindu na alishiriki katika taratibu zote za kidini. Akiwa mtoto aliomba kila siku. Alikuwa amedhamiria lakini alisikia utupu wa kiroho. Amit alisoma maandiko ya Kihindu ili kujitahidi kuelewa dini yake vema. Aliambiwa kwamba haijalishi ni Imani gani kwa sababu dini zote zinatupeleka kwa Mungu. Alitaka kutafuta ukweli halisi ambao utamwongoza Yeye kwa Mungu, lakini alijiuliza kama kweli hiyo kweli ipo.