Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
Sections
navigate open
See all results →
Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 11: Uislamu

8 min read

by Stephen Gibson


Kukutana kwa Mara ya Kwanza

Daniel alikuwa mshindi wa ndondi za uzito mkubwa. Alipotembelea Uturuki alisikia wito wa kiislamu wa kusali, na alivutiwa sana. Alianza kuusoma Uislamu na akahisi kwamba ilikuwa dini sahihi kwake. Alidai kuwa Mkristo hapo kabla lakini alishawishika kwamba kulikuwa na makosa katika Biblia.