Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
Sections
navigate open
See all results →
Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 17: Kuelewa Romani Ukatoliki

8 min read

by Stephen Gibson


Kukutana kwa mara ya kwanza

Kipindi cha utoto wake, Hannah alimuomba Mungu amuongoze kwenye kanisa ambapo angejisikia kukubalika. Kama kijana mdogo alitembelea kanisa Katoliki kwa ajili ya ibada. Desturi nyingi za Romani Katoliki zilionekana ngeni kwake. Alipenda ukweli kuwa walifanya desturi sawa za kuabudu ulimwenguni kote. Alianza kuhisi kuwa ni muujiza wa ajabu kuwa ibada inakuwa mwili na damu ya Yesu kila wakati, ili kwamba watu wawe na ushirika na Yesu.