Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
Sections
navigate open
See all results →
Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 6: Eastern Lightning (Mwangaza wa Mashariki)

8 min read

by Stephen Gibson


Kukutana kwa Mara ya Kwanza

Shang Hui alikuwa mchungaji huko China. Alianza kusikia watu wanaacha kanisa ili kujiunga na Kanisa la Mungu Mwenyezi. Hata wazazi wake walikuwa wamejiunga. Alipokutana na washirika wa Imani potofu, walisema, “Jina la Mungu lilikuwa ni Yehova, lakini wakati huo alikuwa ni Yesu duniani. Mungu anaweza kutenda jambo jipya tena, na kuwa Kristo mwingine duniani.” Shang alichanganyikiwa kwa mafundisho yao. Alivunjika moyo katika huduma yake kwa sababu Imani potofu ilikuwa inakua kwa haraka.