Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
Sections
navigate open
See all results →
Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 4: Mashahidi wa Yehova

7 min read

by Stephen Gibson


Kukutana kwa Mara ya Kwanza

Waligonga mlango wa Samweli na wakampatia nakala ya gazeti la Awake. Wageni walikuwa mwanamke na Watoto wake wawili. Walikuwa wamevaa vizuri na walikua na hali ya urafiki. Andiko la gazeti lilihusu namna ya kuwasaidia Watoto kufanya vizuri shuleni. Mwanamke alisoma mstari katika Biblia, akatoa mafafanuzi juu yake, na kisha akamuuliza Samweli endapo angekuwa na shahuku ya kutembelewa kwa ajili ya kujifunza Biblia. Samweli alisema angefikiria kuhusu hilo.