Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
Sections
navigate open
See all results →
Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Tamaduni za Imani za Ulimwengu

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 19: Kuelewa Theolojia ya Mafanikio

13 min read

by Stephen Gibson


Kukutana kwa Mara ya Kwanza

James alikuwa anaangalia ibada ya kanisa katika televisheni. Kanisa lilikuwa linazungumzia kutoa kwa ajili ya mradi maalumu. Muhubiri kanisani aliomba kwa ajili ya baraka kwa yeyote ambaye atatoa fedha kwa ajili ya mradi. Muhubiri alihaidi kwamba yeyote atakayetoa atapokea kutoka kwa Mungu mara mia zaidi ya kile walichokitoa. James alifikiri kama angechangia kwa njia ya mtandao au la.