Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
navigate open
See all results →
Misingi ya Imani ya Kikristo

Misingi ya Imani ya Kikristo

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 4: Wanadamu

11 min read

by Stephen Gibson


Malengo ya Somo

(1) Mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kuelezea:

  • Ni kwa namna gani tunafahamu kwamba mfano wa Mungu ndani ya wanadamu si mfanano wa kimwili/kifizikia/wa nje.

  • Sifa nane za mfano wa Mungu ndani ya mwanadamu.

  • Kwamba mtu ametengenezwa mahususi kwa ajili ya mahusiano na Mungu.

  • Namna ambayo watu wana uhuru wa kuchagua.

  • Kwamba watu wana thamani isiyo na mipaka zaidi ya thamani ya kivitendo ya ulimwengu huu

  • Tamko la Imani ya Kikristo kuhusiana na mwanadamu.

(2) mwanafunzi ataelewa kwamba hawezi kutimilika kama nafsi pasipo kuwa na mahusiano na Mungu.