Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
navigate open
See all results →
Misingi ya Imani ya Kikristo

Misingi ya Imani ya Kikristo

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 13: Hatma ya Milele

9 min read

by Stephen Gibson


Malengo ya Somo

(1) Mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kuelezea:

  • Msingi wa shughuli za mbinguni.

  • Sifa za mbinguni zilizofunuliwa katika Maandiko.

  • Sifa za adhabu ya milele zilizofunuliwa katika Maandiko.

  • Baadhi ya mifano ya dini ambazo zinakana kweli ya adhabu ya milele.

  • Haki ya adhabu ya milele.

  • Tamko la Imani ya Kikristo kuhusiana na hatima ya milele.

(2) Mwanafunzi atakumbuka kwamba baadhi ya matendo yana matokeo ya milele ambayo hayawezi kubadilishwa.