Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
navigate open
See all results →
Misingi ya Imani ya Kikristo

Misingi ya Imani ya Kikristo

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 15: Matamko ya Kale ya Imani

12 min read

by Stephen Gibson


Malengo ya Somo

(1) Mwanafunzi atakuwa na uwezo wa kuelezea:

  • Kusudi na matumizi ya tamko kama tamko la Imani.

  • Baadhi ya mifano ya kibiblia ya matamko ya Imani.

  • Asili ya yaliyomo katika matamko matatu ya kihistoria.

  • Kwa nini Wakristo wanapaswa kushikilia Ukristo wa Kihistoria.

  • Tamko la Imani ya Kikristo kuhusiana na Matamko ya Imani.

(2) Mwanafunzi atathamini msingi wa Imani wa kanisa la kwanza kama asili ya Ukristo.