Angalizo kwa Mwanafunzi
Somo hili fupi linatambulisha hoja ambazo zitatolewa katika Somo la 6-8. Unaweza usilielewe somo hili kwa ukamilifu hadi hapo utakapojifunza masomo yanayofuata. Ili kuelewa vyema hoja kuhusu Imani ya Kikristo, soma somo hili, kariri kazi za kufanya zilizotolewa, soma masomo 6-8, kisha fanya marejeo ya somo hili tena. Baada ya kuwa umesoma hoja zote katika masomo yote yafuatayo, unaweza ukarejea kweye somo hili kwa ajili ya uelewa mpana zaidi.
.jpg)