Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
navigate open
See all results →

Lesson

Playlist

Mapitio ya Agano Jipya

Mapitio ya Agano Jipya

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 6: Wakorintho na Wagalatia: Barua kwa Makanisa Yenye Shida

20 min read

by Randall McElwain


Malengo ya Somo

Kufikia mwisho wa somo hili, mwanafunzi anapaswa: (1) Kujua tarehe na makusudi ya Wakorintho wa 1 na 2 na Wagalatia. (2) Kutoa muhtasari wa dhamira kuu ya Wakorintho wa 1 na 2 na Wagalatia. (3) Kuelewa masuala muhimu ya kutafsiri Wakorintho wa 1. (4) Kujadili mahusiano kati ya mwamini na sheria. (5) Kutambua maana ya kibiblia ya imani kwamba watu wanaokolewa kwa kushika sheria. (6) Kutambua maeneo ya migogoro na mkanganyiko katika kanisa la mwanzo.

(7) Kuhusianisha ujumbe wa vitabu hivi na mahitaji ya dunia ya leo.