Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
navigate open
See all results →

Lesson

Playlist

Mapitio ya Agano Jipya

Mapitio ya Agano Jipya

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 1: Utangulizi wa Agano Jipya

21 min read

by Randall McElwain


Malengo ya Somo

Kufikia mwisho wa somo hili, mwanafunzi anapaswa: (1) Kufahamu jiografia ya Palestina na umuhimu wake kwa Agano Jipya. (2) Kuelewa mazingira ya Kihistoria ya Agano Jipya. (3) Kutambua ushawishi wa Kirumi, Kiyunani/Kigiriki, na Kiyahudi kwa Agano Jipya. (4) Kuelewa baadhi ya desturi za kale za Agano Jipya. (5) Kuwa na uwezo wa kuelezea sababu za kuamini mamlaka ya Agano Jipya.

(6) Kutambua namna Mungu alivyouandaa ulimwengu kwa ajili ya ujio wa Kristo na kusambaa kwa Injili.