Malengo ya Somo
Kufikia mwisho wa somo hili, mwanafunzi anapaswa: (1) Kufahamu tarehe inayokadiriwa na mazingira ya kihistoria ya 1 na 2 Wathesalonike. (2) Kueleza mada za msingi na makusudi ya 1 na 2 Wathesalonike. (3) Kutiwa moyo kuendelea kuwa mwaminifu wakati wa upinzani kutoka kwa wasioamini. (4) Kuonyesha uelewa wa kina wa fundisho la kurudi kwa Kristo. (5) Kuishi leo kwa ufahamu wa kina na makini kuhusu kurudi wa Kristo.
(6) Kuhusianisha ujumbe wa vitabu hivi na mahitaji ya ulimwengu wa leo.