Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
navigate open
See all results →

Lesson

Playlist

Mapitio ya Agano Jipya

Mapitio ya Agano Jipya

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 10: Waebrania na Yakobo: Nyaraka za Watu Wote, Sehemu ya 1

16 min read

by Randall McElwain


Malengo ya Somo

Kufikia mwisho wa somo hili, mwanafunzi anapaswa: (1) Kufahamu tarehe zinazokadiriwa na mazingira ya kihistoria ya Waebrania na Yakobo. (2) Kuorodhesha mada kuu na kusudi la Waebrania na Yakobo. (3) kutambua upendeleo na majukumu yetu chini ya Agano Jipya. (4) Kutii maonyo ya Kibiblia dhidi ya uasi. (5) Kuelewa uhusiano kati ya imani na kazi katika maisha ya Mkristo. (6) Kutekeleza kanuni kwa vitendo kwa Mkristo kuishi kutokana na Waebrania na Yakobo.

(7) Kuhusianisha ujumbe wa vitabu hivi na mahitaji ya ulimwengu wa leo.