Type at least 2 characters to search
No results found for ""
Courses
Lessons
navigate open
See all results →

Lesson

Playlist

Mapitio ya Agano Jipya

Mapitio ya Agano Jipya

Search Course

Type at least 3 characters to search

Search through all lessons and sections in this course

Searching...

No results found

No matches for ""

Try different keywords or check your spelling

results found

Lesson 4: Matendo ya Mitume: Kanisa la Kwanza

19 min read

by Randall McElwain


Malengo ya Somo

Kufikia mwisho wa somo hili, mwanafunzi anapaswa:

(1) Kufahamu usuli (nyuma ya mambo) wa kihistoria na kijiografia wa kanisa la kwanza.

(2) kumfahamu mwandishi na tarehe ya Matendo ya Mitume.

(3) Kutambua kusudi na umuhimu wa mada kuu za Matendo ya Mitume.

(4) Kufuatilia kusambaa kwa Injili kutokea Yerusalemu na katika ulimwengu wote wa Rumi.

(5) kufahamu tofauti kati ya mafundisho ambayo ni maelekezo na maelezo katika Matendo ya Mitume.

(6) Kupata ufahamu wa muhtasari wa huduma ya Paulo.

(7) Kuhusianisha ujumbe wa Matendo ya Mitume na mahitaji ya ulimwengu wa leo.