Malengo ya Somo
Kufikia mwisho wa somo hili, mwanafunzi anapaswa: (1) Kufahamu mwandishi, tarehe, na mazingira ya kihistoria ya injili ya Yohana. (2) Kutofautisha Injili ya Yohana na Injili za Kuona Pamoja. (3) Kutambua dhamira na kusudi la Injili ya Yohana. (4) Kuthamini umuhimu wa vyote viwili uanadamu na uungu wa Yesu. (5) Kuhusianisha ujumbe wa Injili ya Yohana kwa mahitaji ya dunia ya leo. (6) Kutumia yaliyomo ya hili somo katika mazingira ya huduma ya kidini.