Kanuni Za Kikristo
Malengo ya Somo
(1) Mwanafunzi ataweza kueleza:
-
Dhana ya Ufunuo wa Jumla na Ufunuo Maalum.
-
Ushahidi kwamba Biblia ni Neno la Mungu.
-
Uhamasisho wa maandiko.
-
Kwa nini uhamasisho wa maandiko unamaanisha kuwa maandiko hayana makosa.
-
Maneno iliyohamasishwa, isiyoweza kuwa na makosa, na isiyokuwa na makosa.
-
Kwa nini Biblia imekamilika na haiwezi kuongezewa habari za ziada.
-
Jinsi Biblia ilivyo chanzo kikuu na mamlaka ya mwisho ya kanuni.
-
Jinsi Biblia ilivyo muhimu katika maisha ya kila siku ya Mkristo.
-
Kauli ya kanuni za Kikristo kuhusu Biblia.
(2) Mwanafunzi ataepuka kusikiliza mamlaka yasiyofaa au kujifunza Biblia akiwa na kusudi finyu.
Please select a section from the sidebar.